Breaking News

KISWSYLBSF4


            i.            Uundaji wa Maneno
§  Elezea njia mbalimbali za uundaji maneno
§  Elezea mazingira yanayoelezea kuhitaji maneno mapya
§  Unda maneno katika miktadha mbalimbali
            i.            Ukuaji na ueneaji wa Kiswahili katika enzi ya Waingereza
§  Elezea mambo waliyochangia waingereza katika ukuaji wa Kiswahili nchini Tanzania
          ii.            Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili baada ya Uhuru
§  Elezea shughuli mbalimbali zinazowezesha kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini
§  Elezea dhima ya kila asasi inayokuza Kiswahili
            i.            Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya
§  Fafanua vipengele vya uhakiki
§  Baini taarifa muhimu za mwandishi wa kila kitabu
            i.            Utungaji wa Mashairi
§  Fafanua mambo ya kuzingatia katika utungaji wa mashairi
5.    Uandishi
            i.            Uandishi wa Insha za Kiada
§  Elezea muundo wa insha za kaida
          ii.            Uandishi wa Hotuba
§  Elezea muundo wa hotuba
       iii.            Uandishi wa Risala
§  Elezea muundo wa risala
        iv.            Uandishi wa kumbukumbu za Mikutano
§  Elezea mambo ya kuzingatia katika uchukuaji wa kumbukumbu za mikutano
6.    Ufahamu
            i.            Ufahamu wa Kusikiliza
§  Jibu maswali ya habari uliyosikiliza
§  Fupisha habari
          ii.            Ufahamu wa Kusoma
§  Jibu maswali kutokana na habari ndefu uliyosoma
§  Fupisha habari ndefu uliyosoma