Breaking News

KISWSYLBSF3


1.    Ngeli Za Nomino
            i.            Kuzielewa ya Ngeli
§  Fafanua upatanishi wa kisarufi katika sentensi
§  Andika habari zenye upatanishi wa kisarufi
2.    Mjengo Wa Tungo
            i.            Maana ya Tungo
§  Maana ya Tungo
§  Bainisha aina mbalimbali za tungo
§  Maana ya Kirai na Uainishaji wake
§  Maana ya Kishazi na Uainishaji wake
          ii.            Ufafanuzi wa Aina za Tungo
§  Maana ya sentensi
§  Muundo wa sentensi kimapokeo/kikazi/kidhima
§  Uainishaji wa sentensi
§  Kubainisha uchanganuzi wa sentensi
            i.            Asili ya Kiswahili
§  Onesha ushahidi wa kimsamiati na kimuundo unaothibitisha ubantu wa Kiswahili
§  Fafanua jinsi miundo ya Kiswahili inavyofanana na miundo ya lugha nyingine za Kibantu
          ii.            Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
§  Elezea ukuaji wa Kiswahili kimsamiati nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
§  Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu
       iii.            Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Wajerumani
§  Fafanua ukuaji wa Kiswahili nchini katika enzi za Wajerumani
§  Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi za Wajerumani
            i.            Maana ya Uhakiki
§  Fafanua dhana ya uhakiki
§  Elezea misingi ya uhakiki
          ii.            Uhakiki wa Fani katika Kazi za Fasihi Andishi
§  Hakiki fani katika riwaya ya Takadini
§  Hakiki fani katika Riwaya ya Joka la Mdimu
       iii.            Uhakiki wa Fani katika Tamthiliya
§  Fani katika Tamthiliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
§  Hakiki fani katika tamthiliya ya Kilio Chetu
§  Hakiki fani katika tamthiliya ya Orodha
§  Hakaiki fani katika tamthiliya ya Watoto wa Mama N’tiliye
        iv.            Uhakiki wa fani katika Ushairi
§  Hakiki fani katika Ushairi wa Wasakatonge
§  Hakiki fani katika Ushairi wa Mashairi ya Chekacheka
§  Hakiki Fani katika Ushairi wa Malenga Wapya
          v.            Uhakiki wa Maudhui katika Kazi za Fasihi Andishi
§  Hakiki Maudhui katika riwaya ya Takadini
§  Hakiki maudhui katika Riwaya ya Joka la Mdimu
        vi.            Uhakiki wa Maudhui katika Tamthiliya
§  Maudhui katika Tamthiliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
§  Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Kilio Chetu
§  Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Orodha
§  Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Watoto wa Mama N’tiliye
     vii.            Uhakiki wa Maudhui katika Ushairi
§  Hakiki maudhui katika Ushairi wa Wasakatonge
§  Hakiki Maudhui katika Ushairi wa Malenga Wapya
§  Hakiki maudhui katika Diwani ya Chekacheka
            i.            Utungaji wa Hadithi
§  Pambanua mikondo ya uandishi wa hadithi
          ii.            Utungaji Tamthiliya
§  Elezea dhima ya tamthiliya
§  Tunga tamthiliya
            i.            Uandishi wa Insha za Kisanaa
§  Elezea misingi ya kuandika insha
§  Andika insha za kisanaa
          ii.            Uandishi wa Matangazo
§  Elezea vipengele vya kuzingatiwa katika uandishi wa matangazo
            i.            Kusoma Kimya
§  Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyosoma
§  Fupisha habari uliyoisoma