Breaking News

KISWSYLBSF2


            i.            Kutumia Uambishaji
§  Bainisha mofimu katika maneno
§  Bainisha dhima za mofimu
          ii.            Kutumia Mnyumbuliko
§  Elezea mazingira yanayosababisha mahitaji ya maneno mapya
§  Fafanua dhima ya uambishaji na mnyambulikoa wa maneno
§  Unda maneno mbalimbali kwa kutumia mnyambuliko
§  Tumia maneno ya mnyambuliko katika miktadha mablimbali
            i.            Rejesta
§  Wasiliana kwa kutumia rejesta
§  Elezea dhima za rejesta
          ii.            Misimu
§  Wasiliana kwa kutumia misimu
       iii.            Lugha ya Kimazungumzo na ya Kimaandishi
§  Bainisha sifa ya lugha ya kimazungumzo
§  Elezea dhima ya lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi
§  Tumia lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi katika miktadha sahihi
        iv.            Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili
§  Elezea lafudhi mbalimbali za Kiswahili
          v.            Utata katika Mawasiliano
§  Elezea Sababu za Utata
            i.            Uhakiki wa Ushairi
§  Elezea vipengele vya fani na maudhui katika kuhakiki ushairi
          ii.            Uhakiki wa Maigizo
§  Elezea vipengele vya fani na maudhui katika kuhakiki maigizo


            i.            Njia za kuhifadhi Fasihi Simulizi
§  Bainisha njia za kuhifadhi fasihi simulizi
§  Elezea ubora na udhaifu wa kila njia ya kuhifadhi kazi za fasihi simulizi
          ii.            Umuhimu wa kuhifadhi kazi za Fasihi Simulizi
§  Elezea faida ya kuhifadhi fasihi simulizi
            i.            Mashairi
§  Fafanua kanuni za utungaji wa mashairi
§  Igiza ngonjera
          ii.            Maigizo
§  Elezea kanuni za utungaji wa maigizo
6.    Uandishi
            i.            Insha za Hoja
§  Elezea muundo wa insha za hoja
          ii.            Barua Rasmi
§  Elezea dhima ya barua rasmi
§  Elezea muundo wa barua rasmi
       iii.            Simu
§  Elezea dhima ya simu ya maandishi
§  Andika simu za maandishi kwa kuzingatia muundo na taratibu za uandishi
        iv.            Kadi za Mialiko
§  Fafanua muundo wa kadi ya mialiko
          v.            Uandishi wa Dayalojia
§  Elezea dhana ya dayolojia
7.    Usimulizi
            i.            Usimuliaji wa Matukio
§  Fafanua njia za usimulizi wa matukio


8.    Ufahamu
            i.            Ufahamu wa Kusikiliza
§  Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyoisikiliza
§  Fupisha kwa mdomo habari uliyoisikiliza
          ii.            Ufahamu wa Kusoma
§  Soma kwa sauti kwa kuzingatia lafudhi ya kiswahili
§  Jibu maswali kutokana na habari uliyoisoma
§  Fupisha habari uliyoisoma
       iii.            Kusoma kwa Burudani
§  Mambo ya kuzingatia katika usomaji kwa burudani
        iv.            Matumizi ya Kamusi
§  Elezea jinsi ya kutumia kamusi