Breaking News

KISWSYLBSF1


1.    Mawasiliano
            i.            Lugha kama Chombo cha Mawasiliano
§  Elezea maana ya mawasiliano
§  Fafanua dhima za lugha katika mawasiliano
§  Fafanua matumizi na umuhimu wa lugha
          ii.            Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili
§  Elezea maana ya matamshi
§  Bainisha sauti za lugha ya Kiswahili
§  Elezea kuhusu lafudhi ya Kiswahili
2.    Aina Za Maneno
            i.            Ubainishaji wa aina Saba za Maneno
§  Bainisha aina saba za maneno ya Kiswahili
          ii.            Ufafanuzi wa aina za Maneno
§  Elezea maana ya kila aina ya neno
       iii.            Matumizi ya aina za Maneno katika Tungo
§  Elezea matumizi ya aina za maneno katika tungo
        iv.            Matumizi ya Kamusi
§  Elezea maana ya Kamusi
§  Elezea jinsi ya kutumia kamusi
§  Fafanua taarifa ziingizwazo katika kamusi
            i.            Dhima ya Fasihi
§  Elezea dhana ya fasihi
§  Fafanua dhima za fasihi katika jamii
          ii.            Aina za Fasihi
§  Fafanua dhana ya fasihi simulizi
§  Elezea sifa na dhima za fasihi simulizi
§  Fafanua dhana ya fasihi andishi
§  Elezea sifa na dhima za fasihi andishi
§  Onesha tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi Simulizi

4.    Fasihi Simulizi
            i.            Ubainishaji wa Tanzu za Fasihi Simulizi
§  Bainisha tanzu za fasihi simulizi
          ii.            Ufafanuzi wa Vipera vya Tanzu za Fasihi Simulizi
§  Fafanua vipera vya hadithi
§  Fafanua vipera vya ushairi
§  Fafanua vipera vya semi
§  Fafanua vipera vya maigizo
       iii.            Uhakiki wa kazi za Fasihi Simulizi
§  Elezea umuhimu wa uhakiki wa kazi za fasihi simulizi
§  Elezea vigezo vya uhakiki wa kazi za fasihi simulizi
§  Elezea uhakiki wa hadithi
§  Hakiki matumizi ya semi katika hadithi
5.    Usimulizi
            i.            Usimulizi wa Hadithi
§  Elezea njia za usimulizi wa hadithi
          ii.            Usimulizi wa Habari
§  Fafanua taratibu za usimulizi wa matukio
            i.            Insha za Wasifu
§  Elezea hatua za uandishi wa insha
§  Fafanua muundo wa insha
§  Tofautisha insha za kisanaa na zisizo za kisanaa
            i.            Barua za Kirafiki
§  Elezea muundo wa barua za kirafiki
8.    Ufahamu
            i.            Kusikiliza
§  Elezea mambo ya kuzingatia katika ufahamu wa kusikiliza
§  Jibu maswali kutokana na habari uliyosikiliza
          ii.            Kusoma kwa Sauti
§  Elezea mambo ya Kuzingatia katika ufahamu wa kusoma kwa sauti
§  Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma
       iii.            Kusoma Kimya
§  Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma
        iv.            Kusoma kwa Burudani
§  Fafanua mambo ya kuzingatiwa katika ufahamu wa kusoma kwa burudani